#CleanMaster: Moja App Muhimu Kuwa Nayo

image

Kuna muda mwingi simu
zinakuwaga nzito na utendaji
wake wa kazi unaathirika sana,
zinakuwa na joto sana na
muda mwingine ata zinaweza
zikawa ata zinazima pale chaji
ikiwa safi tuu. Na hapa ndio
app hii ya Clean Master
inakuja.

Ata pale unapokuta
nafasi ya uhifadhi
(storage) imepungua
kwenye simu au tableti
yako ya Android, Clean
Master itakuonesha ni
nini hasa kinakula nafasi
na kukusaidia kufuta vitu
usivyoitaji.

Utakapofungua app ya Clean
Master itakuonesha kupitia
michoro (graphs) ni nini kina
kula nafasi kwenye simu au
memori kadi yako. Pia
itakuonesha ata nafasi
inayoshikiliwa uchafu (cache)
uliotokana na oparesheni za
apps ulizonazo. Kupitia chaguo
rahisi la ‘Clean’ yaani safisha,
app inasaidia sana kwani
hauitaji kuwa na ujuzi mwingi
sana, katika utumiaji wa app
hii kwa muda mrefu haijawahi
kuharibu au kuathiri app au
mafaili yeyote muhimu.

Ata pale simu inapokuwa
inaanza kushika joto app hii
itakuonesha ni apps gani
zinasababisha joto hilo, na
inakupa chaguo la kuzifunga
apps hizo.

Kwa kiasi kikubwa app hii
itasaidia kuongeza maisha ya
simu yako. Kushusha bofya
hapa – Google Play

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s