Mbinu Ambazo Huenda Huzijui Katika Google PlayStore!

image

Google play ni moja kati ya
Soko kubwa la kushuusha App
nyingi za bure na za kununua.
Soko hili hutumiawa na
watumiaji wa vifaa vya Adroid
japokua hata kwa kompyuta
yako unaweza kuingia katika
soko hili sema ni vigumu
kushusha App. Google play
ndio soko linaloongoza kwa
App za bure ukiachana na
masoko mengine kama lile la
AppStore linalom
ilikiwa na
Apple Inc.

Soko la Google Play kama jina
lake lilivyo linamilikiwa na
kampuni ya Google, sasa ili
kujua mbinu tofauti kuhusiana
na soko hili endelea kusoma
zaidi

A: FUATILIA SIMU ILIYO
POTEA AU KUIBIWA

Ndio unaweza kufuatilia simu
yako iliyopotea au kuibiwa
lakini simu yako ya Android
inabidi iwe na vitu muhimu
vitatu ambavyo ni
Kifaa chako kiwe
kimeunganishwa
na akaunti yako
ya google
Kifaa chako
lazima kiwe na
uweza wa
kuingia katika
mtanadao
(ineternet)
Lazima kifaa
chako kiwe
kimewasha
sehemu ya
‘Location
Settings’
Kama simu yako imekidhi hayo
mambo yote hapo juu, basi
tunaenda sawa. Sasa fungua
mtandao wa ‘Android Device
Manager ‘ – https://
http://www.google.com/android/
devicemanager na kisha anza
kufuatilia simu yako iliyopotea
au kuibiwa ili kujua ipo eneo
gani kwa kutumia ramani.

image

Muonekano wa Mtandao wa
Android Device Manager Pale
unapoitafuta Simu Yako.
Inakuonesha Ilipo na
Inakupa uwezo wa Kubeep,
kuilock – funga, na pia
kuifuta data zako.

B: FUTA DATA ZAKO ZOTE
KWA KUTUMIA GOOGLE PLAY

Hii ni moja kati ya zile mbinu
nzuri tuu unazoweza fanya
ukiwa na kifaa chako cha
Android. Kwa kutumia njia hii
unaweza uka RESET skifaa/
simu yako ya android lakini
kifaa hiko lazima kiwe na
mambo mawili ya muhimu
Hakikisha kina
uweza wa
kimtandao
(internet)
Hakikisha kifaa
chako
kimeunganishwa
na akaunti ya
google.

Kama una uhakika kifaa chako
kimekidhi mambo yote hayo
basi nenda katika ‘Android
Device Manger‘ kisha futa kila
kitu katika simu yako iliyoibiwa
au kupotea. Hii itahakikisha
usalama wa vitu vyako (mfano
Picha, nyaraka, video na
mafaili mengine ya muhimu)
ndani ya kifaa. Kwa Njia 3 za
Ku Reset simu ya Android
soma Hapa

C: RUDISHIWA KIASI
ULICHOTUMIA NUNUA APP
USIYOIPENDA

Hivi umenunua App ambayo
baadae haifanyi kazi kama
ulivyodhani au hukuipenda na
akajuta kupoteza hela yako
bure?. Sasa unafanyaje?
Google rudisha kiasi
ulichotumia kwa App ambazo
hazifanyi kazi kama
ulivyotegemea lakini kwa zoezi
hili kukamilika kuna vigezo na
masharti ambayo inabidi
yazingatiwe.. zoezi hili
litafanyika mara moja tuu
kwa kila App hivyo usije
kujisumbua kuomba
kurudishiwa kiasu chako zaidi
ya mara moja. Kitu kingine ni
kwamba unaweza omba
kurudishia kiasi chako baada
ya masaa mawili kupita tangia
ulivyo nunua App hiyo. Ili
kurudishiwa kiasi chako,
fungua Google play store na
itafute hiyo App ya kulipia
uliyoishusha. Ikishatokea
ataona sehemu imeandikwa
‘REFUND’ bofya juu yake na
Google ita rudisha kiasi hicho
ndani ya masaa 48. Kitu
kingine kizuri kuhusu hii ni
kwamba hakuna sera ya
maswali kwa hiyo unaweza
omba kurudishiwa kiasi chako.
Hii inamaanisha huwezi
kuulizwa maswali mia ili
kurudishiwa kiasi chako.

D: PATA ORODHA YA APP
ZAKO ZA ZAMANI

Umeuza kifaa chako cha
Android hivi karibuni na
unataka orodha ya App
ulizokuwa unatumia hapo
awali? Google inakusaidi katika
hilo, ‘Sign In’ katika Google
Play kwa kutumia Akaunti yako
ya kwanza kisha nenda Apps >
My Apps ili kupata orodha ya
App zako zote ulizowahi
kushusha kwa sababu google
inahifadhi App zote ulizowahi
shusha.

image
Ambuli Victor

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s